JamboMail.com – Burudani, Makala, Michezo, New Music, Mambo 10 & Lifestyle

The most read Swahili entertainment website in Tanzania, East Africa.

Category: New Music

Tunakuhakikishia hapa utapata nyimbo na video zote mpya (New Music & Video) zinazotoka kila siku hasa kutokea kwenye kiwanda cha Bongofleva nchini Tanzania.

Burudika na ngoma kutoka kwa wasanii wakubwa Tanzania kama Alikiba, Diamond Platnumz, Nandy, Marioo, Rayvanny, Joh Makini, Harmonize, Jux, Fid Q, Zuchu, Jay Melody, Lady Jaydee, Darassa na wengine wengi.

Hata hivyo, wasanii na watumiaji wanapaswa kuelewa kuwa tovuti hii haiuzi muziki wa msanii yeyote yule wa ndani na nje.

Kinachofanyika ni kushiriki (share) link kutoka majukwaa mengine kama YouTube ambao wasanii husika wameweka kazi zao wenyewe.

Tunaamini kufanya hivyo kutaupa nafasi muziki msanii husika kufikia mbali zaidi na kumuingizia kipato, huku wasomaji wetu wakiburudika, karibu ufurahie New Music & Video.

New Video: Rayvanny – Nakupenda

New Video: Rayvanny – Nakupenda

Mwimbaji wa Bongofleva, Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Nakupenda. More Music Videos: Lava Lava…

Read more
New Video: Lava Lava – Tajiri

New Video: Lava Lava – Tajiri

Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Lava Lava ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Tajiri. More…

Read more
New Video: Darassa ft. Bien – No Body

New Video: Darassa ft. Bien – No Body

Msanii wa Hip Hop Bongo, Darassa ameachia video ya wimbo wake mpya, No Body akimshirkisha Bien kutokea nchini Kenya. More…

Read more
New Video: Mbosso – Sitaki

New Video: Mbosso – Sitaki

Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Mbosso ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Sitaki. More Music…

Read more
New Video: Otile Brown – Sunina

New Video: Otile Brown – Sunina

Mwimbaji wa muziki kutokea nchini Kenya, Otile Brown ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Sunina. More…

Read more
New Video: Aslay – Nice Couple

New Video: Aslay – Nice Couple

Mwimbaji wa Bongofleva toka Sony Music Africa, Aslay ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Nice Couple….

Read more
New Video: Abigail Chams x Marioo – Nani?

New Video: Abigail Chams x Marioo – Nani?

Mwimbaji wa Bongofleva, Abigail Chams ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Nani?’ akiwa ameshirikiana na Marioo. More Music Videos: Nandy…

Read more
New Video: Nandy – Raha

New Video: Nandy – Raha

Mwimbaji wa Bongofleva, Nandy ameachia lyrics video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Raha ambao unafanya vizuri kwa…

Read more
New Video: Zuchu ft. Innoss’B – Nani Remix

New Video: Zuchu ft. Innoss’B – Nani Remix

Mwimbaji wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi, Zuchu ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Nani Remix’ akimshirkisha…

Read more
New Video: Barnaba ft. Otile Brown – Rockabye Remix

New Video: Barnaba ft. Otile Brown – Rockabye Remix

Msanii wa Bongofleva, Barnaba ameachia video ya wimbo, Rockabye Remix akishirikiana na Staa wa muziki kutokea nchini Kenya, Otile Brown….

Read more
New Music: Nandy – Raha

New Music: Nandy – Raha

Mwimbaji wa Bongofleva toka The African Princess Label, Nandy ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Raha. More Music…

Read more
New Video: Nay wa Mitego ft. Linah – Mshua

New Video: Nay wa Mitego ft. Linah – Mshua

Msanii wa Hip Hop Bongo, Nay wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Mshua’ akimshirkisha Linah. More Music Videos:…

Read more
New Video: Marioo – Tomorrow

New Video: Marioo – Tomorrow

Msanii wa Bongofleva, Marioo ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Tomorrow kutoka kwenye albamu, The Kid…

Read more
New Video: Rayvanny ft. Phina – Mchepuko

New Video: Rayvanny ft. Phina – Mchepuko

Mwimbaji wa Bongofleva kutokea Next Level Music (NLM), Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Mchepuko…

Read more
New Video: Jaguar ft. Lava Lava – Unthinkable

New Video: Jaguar ft. Lava Lava – Unthinkable

Msanii wa Muziki kutokea nchini Kenya, Jaguar ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Unthinkable’ akimshirkisha Lava Lava kutokea WCB Wasafi….

Read more
New Video: Rayvanny X Baddest 47 – Gwade Gwade

New Video: Rayvanny X Baddest 47 – Gwade Gwade

Mwimbaji wa Bongofleva toka Next Level Music (NLM), Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Gwade Gwade’ akishirikiana na Baddest…

Read more
New Video: Zuchu – Nani

New Video: Zuchu – Nani

Mwimbaji wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi, Zuchu ameachia Dance Video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Nani. More…

Read more
error: Content is protected !!