JamboMail.com – Burudani, Makala, Michezo, New Music, Mambo 10 & Lifestyle

The most read Swahili entertainment website in Tanzania, East Africa.

Category: New Music

Tunakuhakikishia hapa utapata nyimbo na video zote mpya (New Music & Video) zinazotoka kila siku hasa kutokea kwenye kiwanda cha Bongofleva nchini Tanzania.

Burudika na ngoma kutoka kwa wasanii wakubwa Tanzania kama Alikiba, Diamond Platnumz, Nandy, Marioo, Rayvanny, Joh Makini, Harmonize, Jux, Fid Q, Zuchu, Jay Melody, Lady Jaydee, Darassa na wengine wengi.

Hata hivyo, wasanii na watumiaji wanapaswa kuelewa kuwa tovuti hii haiuzi muziki wa msanii yeyote yule wa ndani na nje.

Kinachofanyika ni kushiriki (share) link kutoka majukwaa mengine kama YouTube ambao wasanii husika wameweka kazi zao wenyewe.

Tunaamini kufanya hivyo kutaupa nafasi muziki msanii husika kufikia mbali zaidi na kumuingizia kipato, huku wasomaji wetu wakiburudika, karibu ufurahie New Music & Video.

New Video: Harmonize – Wote

New Video: Harmonize – Wote

Msanii wa Bongofleva toka Konde Music Worldwide, Harmonize ameachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la wote. More Music…

Read more
New Video: Mr. Blue ft. Ibraah & Baddest 47 – Baby Boo

New Video: Mr. Blue ft. Ibraah & Baddest 47 – Baby Boo

Msanii wa muziki Bongo, Mr. Blue ameachia video ya wimbo wake ‘Baby Boo’ akiwashirikisha Ibraah & Baddest, ngoma hiyo inafanya…

Read more
New Video: Nandy X Vijana Barubaru – Sasa Hivi Refix

New Video: Nandy X Vijana Barubaru – Sasa Hivi Refix

Msanii wa Bongofleva, Nandy ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Sasa Hivi Refix’ akishirikiana na Vijana Barubaru. More Music Videos:…

Read more
New Video: Angel Benard – Nimeona

New Video: Angel Benard – Nimeona

Msanii wa muziki wa Injili Bongo, Angel Benard ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa la Nimeona. More Music…

Read more
New Video: Belle 9 – Watu

New Video: Belle 9 – Watu

Msanii wa Bongofleva, Belle 9 ameachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la Watu ambao unafanya vizuri kwa sasa….

Read more
New Music: Mac Voice ft. Rayvanny – Muongeze

New Music: Mac Voice ft. Rayvanny – Muongeze

Msanii wa Bongofleva toka Next Level Music (NLM), Mac Voice ameachia wimbo wake mpya ‘Muongeze’ akimshirkisha Rayvanny. More Music Videos:…

Read more
New Video: Barnaba ft. Jay Melody – Only You

New Video: Barnaba ft. Jay Melody – Only You

Mwimbaji wa Bongofleva toka High Table Sound, Barnaba ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Only You’ akimshirkisha Jay Melody. More…

Read more
New Video: Lulu Diva – Nikupe

New Video: Lulu Diva – Nikupe

Msanii wa Bongofleva, Lulu Diva ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Nikupe. More Music Videos: Lady…

Read more
New Music: Rose Muhando – Signature

New Music: Rose Muhando – Signature

Mwimbaji wa muziki Bongo, Rose Muhando ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Signature ambao unafanya vizuri kwa sasa….

Read more
New Music: Kusah – Karibu

New Music: Kusah – Karibu

Msanii wa Bongofleva anayefanya vizuri kwa sasa, Kusah ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Karibu. More Music Videos:…

Read more
New Video: Mwana FA ft. Maua Sama & Harmonize – Sio Kwa Ubaya Remix

New Video: Mwana FA ft. Maua Sama & Harmonize – Sio Kwa Ubaya Remix

Msanii wa Hip Hop Bongo, Mwana FA ameachia remix ya wimbo wake, Sio Kwa Ubaya, akiwa amewashirikisha Harmonize na Maua…

Read more
New Music: Diamond Platnumz – Chitaki

New Music: Diamond Platnumz – Chitaki

Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Diamond Platnumz ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Chitaki. More Music Videos:…

Read more
New Video: Lexsil x Rayvanny – Bounce Remix

New Video: Lexsil x Rayvanny – Bounce Remix

Msanii wa muziki kutokea nchini, Lexsil kwa Kushirikiana na Rayvanny wameachia video ya ngoma, Bounce Remix. More Music Videos: Rayvanny…

Read more
New Video: Dulla Makabila – Pita Huku

New Video: Dulla Makabila – Pita Huku

Mwimbaji wa muziki wa Singeli Bongo, Dulla Makabila ametoa video ya wimbo wake mpya ‘Pita Huku’ ambayo imeanza kupata umaarufu….

Read more
New Video: Young Lunya – Simu

New Video: Young Lunya – Simu

Msanii wa Hip Hop Bongo kutokea RockStar Africa na Sony Music Entertainment Africa, Young Lunya ameachia video ya wimbo wake…

Read more
New Video: Mbosso ft. Costa Titch & Alfa Kat – Shetani

New Video: Mbosso ft. Costa Titch & Alfa Kat – Shetani

Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Mbosso ameachia video ya wimbo wake, Shetani akimshirkisha Costa Titch wa Afrika Kusini. More…

Read more
New Music: Watu Fresh – Sipotei

New Music: Watu Fresh – Sipotei

Wasanii wa Bongofleva wanaounda kundi la Watu Fresh, Mr. kesho na Maxmillion, wameachia wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la…

Read more
error: Content is protected !!