JamboMail.com – Burudani, Makala, Michezo, New Music, Mambo 10 & Lifestyle

The most read Swahili entertainment website in Tanzania, East Africa.

Category: New Music

Tunakuhakikishia hapa utapata nyimbo na video zote mpya (New Music & Video) zinazotoka kila siku hasa kutokea kwenye kiwanda cha Bongofleva nchini Tanzania.

Burudika na ngoma kutoka kwa wasanii wakubwa Tanzania kama Alikiba, Diamond Platnumz, Nandy, Marioo, Rayvanny, Joh Makini, Harmonize, Jux, Fid Q, Zuchu, Jay Melody, Lady Jaydee, Darassa na wengine wengi.

Hata hivyo, wasanii na watumiaji wanapaswa kuelewa kuwa tovuti hii haiuzi muziki wa msanii yeyote yule wa ndani na nje.

Kinachofanyika ni kushiriki (share) link kutoka majukwaa mengine kama YouTube ambao wasanii husika wameweka kazi zao wenyewe.

Tunaamini kufanya hivyo kutaupa nafasi muziki msanii husika kufikia mbali zaidi na kumuingizia kipato, huku wasomaji wetu wakiburudika, karibu ufurahie New Music & Video.

New Video: Dulla Makabila x Chudy – Peleka Gari

New Video: Dulla Makabila x Chudy – Peleka Gari

Msanii wa Muziki wa Singeli Bongo, Dulla Makabila ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Peleka Gari’…

Read more
New Video: Kontawa – Dunga Mawe

New Video: Kontawa – Dunga Mawe

Msanii wa Hip Hop Bongo anayefanya vizuri kwa sasa, Kontawa ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la…

Read more
New Video: Zuchu – Utaniua

New Video: Zuchu – Utaniua

Mwimbaji wa Bongofleva kutoka WCB Wasafi, Zuchu ameachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la Utaniua. More Music Videos:…

Read more
New Video: Navy Kenzo – Company

New Video: Navy Kenzo – Company

Kundi la muziki Bongo linaloundwa na Aika na Nahreel, Navy Kenzo wameachia video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la…

Read more
New Video: Lady Jaydee x Rama Dee – Unione

New Video: Lady Jaydee x Rama Dee – Unione

Waimbaji wa Bongofleva, Lady Jaydee na Rama Dee wameachia video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina Unione. More Music…

Read more
New Video: Rayvanny – Forever

New Video: Rayvanny – Forever

Mwimbaji wa Bongofleva toka Next Level Music (NLM), Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Forever….

Read more
New Video: Mabantu – Muhuni

New Video: Mabantu – Muhuni

Kundi la muziki Bongo linalofanya vizuri kwa sasa, Mabantu wameachia video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Muhuni….

Read more
New Video: Harmonize – Single Again

New Video: Harmonize – Single Again

Mwimbaji wa Bongofleva toka Konde Music Worldwide, Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Single Again…

Read more
New Video: Gigy Money – Ogopa

New Video: Gigy Money – Ogopa

Msanii wa Bongofleva, Gigy Money ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Ogopa ikiwa ni kazi yake…

Read more
New Video: Jaivah X Marioo ft. Chino Kidd, Scotty London & Ks Hub – SOUP

New Video: Jaivah X Marioo ft. Chino Kidd, Scotty London & Ks Hub – SOUP

Msanii wa Bongofleva, Jaivah X Marioo wameachia video ya wimbo ‘Soup’ akishirikiana na Chino Kidd, Scotty London & Ks Hub….

Read more
New Video: Phina ft. Jux – Rara

New Video: Phina ft. Jux – Rara

Mwimbaji wa Bongofleva, Phina ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Rara ft Jux akiwa ni kazi…

Read more
New Video: Jay Melody – Sawa

New Video: Jay Melody – Sawa

Msanii wa muziki Bongo, Jay Melody ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Sawa ikiwa ni kazi…

Read more
New Video: Nacha x Stamina – Jua Lile

New Video: Nacha x Stamina – Jua Lile

Msanii wa Hip Hop Bongo, Nacha ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Jua Lile’ akimshirkisha Stamina ikiwa ni kazi yake…

Read more
New Video: Willy Paul ft. Nandy – Bembeleze

New Video: Willy Paul ft. Nandy – Bembeleze

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Willy Paul ameachia video ya wimbo wake mpya akimshirkisha Nandy unaokwenda kwa jina la…

Read more
New Lyrics Video: Darassa – Mind your Business

New Lyrics Video: Darassa – Mind your Business

Msanii wa muziki Bongo, Darassa ameachia Lyrics Video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina Mind your Business. More Music…

Read more
New Video: Nay Wa Mitego – Kudada deki

New Video: Nay Wa Mitego – Kudada deki

Msanii wa Hip Hop Bongo, Nay wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya, Kudadadeki ukiwa ni mwendelezo wa kazi…

Read more
New Video Dance: Alikiba ft. K2ga, Vanillah, Abdukiba & Tommy Flavour – La La La

New Video Dance: Alikiba ft. K2ga, Vanillah, Abdukiba & Tommy Flavour – La La La

Staa wa Bongofleva toka Kings Music, Alikiba ameachia video dance ya wimbo wake, La La La akiwashirikisha K2ga, Vanillah, Abdukiba…

Read more
error: Content is protected !!