JamboMail.com – Burudani, Makala, Michezo, New Music, Mambo 10 & Lifestyle

The most read Swahili entertainment website in Tanzania, East Africa.

Category: New Music

Tunakuhakikishia hapa utapata nyimbo na video zote mpya (New Music & Video) zinazotoka kila siku hasa kutokea kwenye kiwanda cha Bongofleva nchini Tanzania.

Burudika na ngoma kutoka kwa wasanii wakubwa Tanzania kama Alikiba, Diamond Platnumz, Nandy, Marioo, Rayvanny, Joh Makini, Harmonize, Jux, Fid Q, Zuchu, Jay Melody, Lady Jaydee, Darassa na wengine wengi.

Hata hivyo, wasanii na watumiaji wanapaswa kuelewa kuwa tovuti hii haiuzi muziki wa msanii yeyote yule wa ndani na nje.

Kinachofanyika ni kushiriki (share) link kutoka majukwaa mengine kama YouTube ambao wasanii husika wameweka kazi zao wenyewe.

Tunaamini kufanya hivyo kutaupa nafasi muziki msanii husika kufikia mbali zaidi na kumuingizia kipato, huku wasomaji wetu wakiburudika, karibu ufurahie New Music & Video.

Rayvanny X Iyanya & Zaba – Zazazela

Rayvanny X Iyanya & Zaba – Zazazela

Mwimbaji wa Bongofleva, Rayvanny ameachia video ya wimbo unaokwenda kwa jina la Zazazela akiwa na Iyanya & Zaba. More Music…

Read more
New Album: Jay Melody – Therapy

New Album: Jay Melody – Therapy

Mwimbaji wa Bongofleva, Jay Melody ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Therapy’ ikiwa na jumla ya nyimbo…

Read more
New Video: Joh Makini ft. Bien & Jay Melody – Formula

New Video: Joh Makini ft. Bien & Jay Melody – Formula

Msanii wa Hip Hop Bongo, Joh Makini ameachia video ya wimbo wake, Formula ambao amewashirikisha Jay Melody na Bien kutoka…

Read more
New Video: Young Killer – Msukuma Mjanja

New Video: Young Killer – Msukuma Mjanja

Msanii wa Hip Hop Bongo, Young Killer ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Msukuma Mjanja’ ambao…

Read more
New Video: Dulla Makabila – Furahi

New Video: Dulla Makabila – Furahi

Staa wa muziki wa Singeli Bongo, Dulla Makabila ameachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la ‘Furahi’ ambao unafanya…

Read more
New Video: Billnass – Cancer Freestyle

New Video: Billnass – Cancer Freestyle

Msanii wa Hip Hop Bongo, Billnass ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina ‘Cancer Freestyle’ unaofanya vizuri sasa….

Read more
New Video: Ben Pol X Phina – I’m in Love

New Video: Ben Pol X Phina – I’m in Love

Waimbaji wa Bongofleva, Ben Pol na Phina wameachia video ya wimbo wao unaokwenda kwa jina la I’m in Love ambao…

Read more
New Video: Peter Msechu – Ya Dhati

New Video: Peter Msechu – Ya Dhati

Mwimbaji wa Bongofleva, Peter Msechu ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Ya Dhati. More Music Videos:…

Read more
New Video: Kontawa ft. Billnass – CHEGU

New Video: Kontawa ft. Billnass – CHEGU

Msanii wa Hip Hop Bongo, Kontawa ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘CHEGU’ akiwa amemshirikisha Billnass….

Read more
New Video: Rosa Ree – Blessed

New Video: Rosa Ree – Blessed

Msanii wa Bongofleva, Rosa Ree ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Blessed. More Music Videos: Phina…

Read more
New Video: Nandy ft. G Nako, Joh Makini, Rosa Ree, Khaligraph Jones, Moni & Stamina – Dah Remix

New Video: Nandy ft. G Nako, Joh Makini, Rosa Ree, Khaligraph Jones, Moni & Stamina – Dah Remix

Mwimbaji wa Bongofleva, Nandy ameachia remix ya wimbo wake ‘Dah’ huku akiwashirikisha wasanii wengi wa Hip Hop. More Music Videos:…

Read more
New Video: Harmonize – Side N***a

New Video: Harmonize – Side N***a

Mwimbaji wa Bongofleva kutokea Konde Music Worldwide, Harmonize ameachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la Side N***a. More…

Read more
New Video: Billnass ft. Mbosso – Number One

New Video: Billnass ft. Mbosso – Number One

Msanii wa Bongofleva, Billnass ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Number One’ akimshirkisha Mbosso. More Music…

Read more
New Video: Zuchu ft. Dadiposlim – Zawadi

New Video: Zuchu ft. Dadiposlim – Zawadi

Mwimbaji wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi, Zuchu ameachia video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Zawadi. More Music Videos:…

Read more
New Video: Phina – Wawili

New Video: Phina – Wawili

Mwimbaji wa Bongofleva, Phina ameachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la ‘Wawili’ unaofanya vizuri kwa sasa. More Music…

Read more
New Video: Harmonize ft. Bobby Shmurda & Bien – I Made It

New Video: Harmonize ft. Bobby Shmurda & Bien – I Made It

Staa wa Bongofleva kutoka Konde Music Worldwide, Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la I Made…

Read more
New Video: Diamond Platnumz ft. Mr. Blue & Jay Melody – Mapoz

New Video: Diamond Platnumz ft. Mr. Blue & Jay Melody – Mapoz

Mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake ‘Mapoz’ akiwashirikisha Mr Blue na Jay Melody. More Music Videos:…

Read more
error: Content is protected !!