JamboMail.com – Burudani, Makala, Michezo, New Music, Mambo 10 & Lifestyle

The most read Swahili entertainment website in Tanzania, East Africa.

New Video: Young Killer – Msukuma Mjanja

New Video: Young Killer – Msukuma Mjanja

Msanii wa Hip Hop Bongo, Young Killer ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Msukuma Mjanja’ ambao unafanya vizuri kwa sasa.

Young Killer Msukuma Mjanja

More Music Video: Dulla Makabila – Furahi

Download Music: Rapcha Ft. Vanillah – 40 Missed Calls

Utakumbuka kuwa ‘Msukuma Mjanja’ ni wimbo wa tatu kwa Young Killer kuachia mwaka huu baada ya Full Time na Mtafutatji NO II.

Young Killer – A New GirlFriend Story Lyric

Yoh da pro
Yoh wassup bro
Inakuwaje my G,
‘Dah freshi mbona usiku sana mzee’
Yeah sure, sorry sana mwanangu nina kipengele
Huyu Dem wangu mpya

mshikaji wangu ni changamoto

‘Ah we what’s happening?’
Tunaeza tukaongea kidogo hapa?

‘Yeah for sure’ Okay

Huyu dem kila siku ana ball
Mtu flani wa usiku ndoto zake ni kuishi Singapore
Ana shepu na vimacho vya gololi
Na akicheza anasweti utasema msukuma ama toroli
Anaazimia sana mapicha ni kusnap na kupost
Yaani ku-like na ku-comment daddy
Ana chuchu saa sita, kifuani amekatika
Anapopita maboys wote Oh My God
Alivyoniona akawaka ila mwisho alizima
Bana niliomba mechi akanipatia mtima
Yaani niliomba nusu akanipatia nzima
Safari nikianzia Mwanza naimalizia China

Kila party anafungua champagne
Usipokwenda complain
Yaani home hapakaliki no gain
Allday but no pain no gain
Nikajifunza akawa akinipa ki-chain
Nampika mpaka naunguza
Namuosha nasuuza, tani napunguza
Na nam-care kama mgonjwa unaeza sema naunguza
Marashi namnyunyuza, umbea ananijuza
Nachochea huku ni speedi ikiwa mia napunguza
Juzi kavurugwa na mashosti
Walimsnap wakaposti
Akiwa ndani ya dera hajajikoki
Kavaa ndala kabeba na pochi
Wigi alisahau kwenye kochi
Katoka ka roboti
Kweli nampenda ananipenda
Yuko tayari kwenda napokwenda
Ila siwezi kwenda anapokwenda
Ni beki mzuri tatizo golini na machenga
Mtoto wa geti na kila club member

Kinacho nichanganya ni muda anaopatikana
Namkuta amechoka sana alafu anasingizia gym
Asa mwanangu jana kuna kosa kalifanya
Na ule muda wa kuvutana mi nikakimbilia simu yake
Nakuta vitu vingi vya ajabu huwezi hata ukahesabu
Inaweza ikawa ndo sababu ya mikosi
Na taabu na sikumpatia adhabu sikumshatakia kwa babu
Wala sijaambia wanangu wala boss
Ndio Nmekuta anasex na trainer wake, sms ya designer wake
Na stress akalale kwake kam miss
Amfuate kama ni mkongo apake
Kama ni shombo akate, yaani akifika ni mate na ma-kiss
Najua ni ujinga na upuzi
Ujana na ujuzi inabidi atambue haya mapenzi
Anapenda sana movie, nimejaza ndani
Ila kutulia ndo hawezi

‘Hello beib’

Ukweli ni kwamba ushamba umwamba
Najua kila mbuzi anakula urefu wa kamba
Namjua mpaka mpuuzi anayekula tunda na ganda
Najua kuwa juzi ulikuwa casino na Amber
Wembamba wa reli ila treni inapita
Unadanga unakwenda Tanga na Pipa
Pedeshe wanakita, na mnapiga mapicha
Kuuliza mi ni nani unajibu you’re my sister
Okay my sister, unachamba kwa kulia kushoto
Mbona unaswim maji ya ugoko, unaniletea utoto
Unanirudia asubuhi na vikopo
Umejaza mkorogo na vipocho pocho
Ulipotoka moto moto kwa watu makatili
Ulivyokuwa mwepesi utadhani table ya pili
Unanijaza mastress muda wote unasafiri
Hayo ndio mapenzi au kuchoshana akili

Huh ni neno moja nalotaka boo
Unanipenda hunipendi basi nijue moja tu
Kuliko nalia na mapenzi daily
Naskia juzi unajiachia na sele
Na wakija kwako wanaweka pesa mbele
Kama sina hadhi niambie boo
Mbona unaniletea maradhi na kunitesa juu
Kunikondesha tu, kunikomesha tu
Na kunichoresha juu

‘Beiby I’m so sorry
‘Siwezi kurudia tena please nisamehe
I still love you

Editor

Related Posts

Lifahamu tamasha la Met Gala

Lifahamu tamasha la Met Gala

Billnass afunguka kwanini hajataka kuajiriwa

Billnass afunguka kwanini hajataka kuajiriwa

Diamond, DJ Khaled waiga maujanja ya Madee

Diamond, DJ Khaled waiga maujanja ya Madee

Mkasa wa Hamisa Mobetto kutoswa na Diamond studio

Mkasa wa Hamisa Mobetto kutoswa na Diamond studio

error: Content is protected !!