JamboMail.com – Burudani, Makala, Michezo, New Music, Mambo 10 & Lifestyle

The most read Swahili entertainment website in Tanzania, East Africa.

New Video: Peter Msechu – Ya Dhati

New Video: Peter Msechu – Ya Dhati

Mwimbaji wa Bongofleva, Peter Msechu ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Ya Dhati.

Peter Msechu Ya Dhati

More Music Videos: Rosa Ree – Blessed

Download Music: Zuchu Ft. Dadiposlim – Zawadi

Utakumbuka Peter Msechu aliyeibuliwa na Bongo Star Search (BSS), Ya Dhati ni wimbo wake wa kwanza kwa mwaka huu.

Nandy – Dah! Lyrics

Mie salama na mzima
Sina hata useme adaah
Umenishika kwa mtima
Pumzi sihemi adaaah
Penzi si made in China
Halinaga utemi adaaah
Nyingi dua amina
Ololofemi adaah

Tumeipamba nyumba kwa tabasamu
Macho fumbua fumba hunihishi hamu
Wanaongea pumba tuwafunze nidhamu
Kwa moyo upo mchumba hadi kwenye damu

Nguvu sina
Daah da da da daah dah
Umenimaliza
Daah da da da daah dah
Akili kabisa inadata
Daah da da da daah dah
Umeniweza mpenzi
Daah da da da daah dah

Nibebeshe mazito mepesi unipokee
Tufate mtiririko
Mbali tutokomee wapate makasiriko
Zodo tuwazomee
Penzi funika funiko
Geti uchomelee
Penzi limestawi bila kumwagiliwa
Penzi sio uchawi eti atumwe njiwa

Tumeipamba nyumba kwa tabasamu
Macho fumbua fumba hunihishi hamu
Wanaongea pumba tuwafunze nidhamu
Kwa moyo upo mchumba hadi kwenye damu

Nguvu sina
Daah da da da daah dah
Umenimaliza
Daah da da da daah dah
Akili kabisa inadata
Daah da da da daah dah
Umeniweza mpenzi
Daah da da da daah dah

Editor

Related Posts

Lifahamu tamasha la Met Gala

Lifahamu tamasha la Met Gala

Billnass afunguka kwanini hajataka kuajiriwa

Billnass afunguka kwanini hajataka kuajiriwa

Diamond, DJ Khaled waiga maujanja ya Madee

Diamond, DJ Khaled waiga maujanja ya Madee

Mkasa wa Hamisa Mobetto kutoswa na Diamond studio

Mkasa wa Hamisa Mobetto kutoswa na Diamond studio

error: Content is protected !!