JamboMail.com – Burudani, Makala, Michezo, New Music, Mambo 10 & Lifestyle

The most read Swahili entertainment website in Tanzania, East Africa.

New Album: Jay Melody – Therapy

New Album: Jay Melody – Therapy

Mwimbaji wa Bongofleva, Jay Melody ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Therapy’ ikiwa na jumla ya nyimbo 14.

Jay Melody Therapy album

More Music Videos: Rosa Ree – Blessed

Download Music: Marioo – Hakuna Matata

Ikumbukwe kuwa Jay Melody aliyepata umaarufu kimuziki chini ya Tanzania House of Talent (THT), hii (Therapy) ni album yake ya kwanza tangu ameanza muziki.

Jay Melody -Nakupenda Lyrics

Iwe giza, baridi na upepo
Iwe kuna mawingu na minyesho
Your body baby joto (joto)
Unafanya nijihisi special
Unanipa sababu ya uwepo
Kando yako we mtoto

My desire we nipe dawa
Mi mahututi sijielewi, oh my God
Shida ni nimekolea penzini
Shida ni baby uko moyoni, we-we-we

Nakupenda we, nakutaka we
Kwako sijiwezi, oh my love
Mpenzi we, roho yangu we
Kwako sijiwezi, oh my love

Akili, mwili, baby
Hasira zangu navituliza
Ukiongea nasikiliza
Yote sababu ya upendo
Pili-pili, baby
Vindimu chumvi ya kunyunyiza
Yani uroda kupitiliza
Nimeumaliza mwendo

Kiukweli napendwa
Nachanganya na haya ma raha
Shida ni nimekolea penzini
Shida ni baby uko moyoni, we-we-we

Nakupenda we nakutaka we
Kwako sijiwezi, oh my love (oh my baby)
Mpenzi we, roho yangu we
Kwako sijiwezi, oh my love

jamboadmin

Related Posts

Lifahamu tamasha la Met Gala

Lifahamu tamasha la Met Gala

Billnass afunguka kwanini hajataka kuajiriwa

Billnass afunguka kwanini hajataka kuajiriwa

Diamond, DJ Khaled waiga maujanja ya Madee

Diamond, DJ Khaled waiga maujanja ya Madee

Mkasa wa Hamisa Mobetto kutoswa na Diamond studio

Mkasa wa Hamisa Mobetto kutoswa na Diamond studio

error: Content is protected !!